HABARI iliyotokea kuwashtua wasomaji wengi wa NDGSHILATU na baadhi yao kutokuamini kilichotokea juu yake ni kuhusu msiba wa Mwanasiasa Mkongwe ambaye pia alishawahi kuwa Mkuu wa Wilaya, Ndg JOHN SHILATU aliyefariki dunia tarehe 23/07/2013 siku ya Jumanne majira ya saa 9 alasiri na kuzikwa Jumamosi tarehe 27/07/2013.
Hizi hapa ni baadhi tu ya taswira za siku ya mazishi yake
Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu John Shilatu likiingizwa kwenye gari kutoka mochwari.
Jeneza lenye mwili wa Marehemu Shilatu likiwa mbele ya kadamnasa wakati wa Ibada
Jeneza lenye mwili wa Marehemu Shilatu likipelekwa eneo atakalozikiwa maeneo ya makaburi ya kinondoni jijini Dar es Salaam.
Makaburini Kinondoni
Familia ya wafiwa wakiwa mbele ya jeneza
Jeneza lenye mwili wa marehemu John Shilatu likiingizwa kaburini ... Hakika ni huzuni kubwa sana isiyoelezeaka
Jeneza likiwa ndani ya kaburi
Mjane wa Marehemu Mama Shilatu akiwa udongo kaburini kwa Mume wake
Mtoto wa Kwanza wa Marehemu Shilatu, Seba akiweka udongo kwenye kaburi la Baba yake
Mtoto wa mwisho wa Marehemu, Digna naye pia akiweka udongo kaburini
Mjukuu wa pekee wa Marehemu John Shilatu aitwaye Jayden akishiriki zoezi la kuweka udongo kwenye kaburi la Babu yake
DAIMA TUKAKUKUMBUKA JOHN SHILATU
MWENYEZI MUNGU AZIDI KUKUANGAZIA MWANGA WA MILELE KWANI MAISHA YAKO HAPA DUNIANI ULIMTUMIKIA KWA NGUVU ZAKO ZOTE
Post a Comment