|
Mhe.
Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea
Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Oman hapa nchini
Mhe.Soud Ali Bin Mohamed Al Ruqaishi. Hafla hiyo ilifanyika Ikulu, Dar
es Salaam tarehe 21 Januari, 2014. |
|
Mhe.
Rais Kikwete akimtambulisha kwa Balozi Ruqaishi Mhe. Mahadhi Juma
Maalim, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. |
|
Mhe.
Rais Kikwete akimtambulisha kwa Balozi Ruqaishi, Balozi Simba Yahya,
Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Kimataifa.
|
|
Mhe. Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Ruqaishi (wa pili kushoto) na Maafisa waliofuatana na Balozi huyo. |
|
Mhe. Rais Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi Ruqaishi mara baada ya kupokea hati zake za utambulisho |
|
Balozi Ruqaishi akimshukuru Kiongozi wa Bendi ya Polisi. Picha na Rosemary Malale, Mambo ya Nje |
on Wednesday, January 22, 2014
Post a Comment