Waziri
wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Mhe Sofia Simba akieleza mbele
ya kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii mafanikio yaliyopatikana.Kamati
ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii imefanya ziara ya Tathmini ya siku tatu
katika mikoa ya Dar es salaam,
………………………………………………………………………………..
Pwani
na Tanga na kuridhishwa na utekelezaji wa Mfuko wa maendeleo ya
wanawake kwani umesaidia wanawake wengi kujiendeleza na kupambana na
umasikini unaomkabili mwanamke, kamati hii ilipita katika vikundi vya
wanawake wajasiriamali na kushuhudia shughuli wanazo zifanya kutokana na
mkopo walioupata kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake (WDF); Mjasiliamali
akijieleza mbele ya kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii mafanikio
aliyoyapata kutokana na mkopo kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake
(WDF);.
Post a Comment