Wizara
ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, inawaalika Maafisa Habari na
Mawasiliano Serikalini kote nchini kushiriki katika kikao kazi
kitakachofanyika katika Hotel ya Tanga Beach Resort kuanzia Februari 3
hadi 8, 2014 Mkoani Tanga.
Washiriki wote wanakumbushwa kulipa ada ya ushiriki kabla ya tarehe 30 Januari, 2014.
Kauli mbiu ya mwaka huu ni “Matumizi ya Tehama na Mitandao ya Kijamii katika kuimarisha Mawasiliano ya Serikali kwa Umma”
“WOTE MNAKARIBISHWA”
Post a Comment