Katibu
Mkuu wa wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na watoto Bibi Anna Maembe
akimkaribisha rasmi Mhe. Pindi Chana katika Makao Makuu ya Wizara hiyo
leo asubuhi.
Oindi
Chana ameahidi kutekeleza Majukumu ya wizara ya Jamii Jinsia na watoto
ipasavyo, hasa katika elimu kwa Umma kuhusu haki, usawa na
ushirikishwaji wa Watoto na Wanawake.
Post a Comment