Uongozi wa klabu ya Simba umempandisha cheo aliyekuwa afisa habari wa klabu hiyo Ezekiel Kamwaga na kuwa katibu mkuu mpya, Kamwaga anachukua nafasi ya Evodius Mtawala aliyepata ajira akiwa kama mkurugenzi wa kitengo cha wanachama na sheria pale TFF.
Klabu ya Simba pia imemteua mwandishi mkongwe wa habari za michezo Asha Muhaji kuwa afisa habari mpya wa klabu hiyo.
Post a Comment