Kiongozi
wa msafara wa Kifimbo cha Malkia kwa Ukanda wa Afrika Mashariki
Kipchoge Keino (kulia) akimkabidhi Kifimbo cha Malkia kwa Mkuu wa
msafara kwa Tanzania Gullam Rashid mara baada ya kuwasili katika Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere Dar es Salaam leo mchana.
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo ambaye pia aliwakilisha
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo katika
mapokezi ya Kifimbo cha Malkia Bi. Juliana Yassoda (katikati) akipokea
Kifimbo hicho kutoka kwa Mke wa Rais wa Kamati ya Olympic Tanzania Bi.
Anna Bayi leo jijini Dar es Salaam,.
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Dianna Patricia Melrose akiwa na
Rais wa Kamati ya Olympic Tanzania (TOC) Filbert Bayi (mwenye miwani)
wakiwa na watoto waliofika uwanja wa ndege kupokea Kifimbo cha Malkia
leo jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Kamati ya Olympic Tanzania (TOC) Filbert Bayi akiwa katika picha na
vikundi vya ngoma vilivyotumbuiza wakati wa mapokezi ya Kifimbo cha
Malkia leo jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Kamati ya Olympic Tanzania (TOC) Filbert Bayi akiwa katika picha na
vikundi vya ngoma vilivyotumbuiza wakati wa mapokezi ya Kifimbo cha
Malkia leo jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Frank Shija – Wizara ya Habari.
Post a Comment