Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Waziri wa Nishati na Migodi wa Algeria, Youcef Yousfi,
aliyeongozana na Ujumbe wake kutoka Kampuni ya Sonatrach na Sonalegaz za
nchini Algeria, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar
es Salaam, kwa mazungumo leo Jan 7, 2014. Picha na OMR
Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika mazungumzo na Waziri wa Nishati na Migodi wa Algeria, Youcef
Yousfi (wa kwanza kushoto kwake) aliyeongozana na Ujumbe wake kutoka
Kampuni ya Sonatrach na Sonalegaz za nchini Algeria, wakati walipofika
Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa mazungumo leo Jan 7,
2014. Picha na OMR
:- Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe kutoka Kampuni ya Sonatrach na
Sonalegaz za nchini Algeria, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika
Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jan 7, 2014. Picha na
OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa
Nishati na Migodi wa Algeria, Youcef Yousfi, baada ya mazungumzo yao
yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jan 7,
2014. Kulia ni Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Mhongo. Picha
na OMR
Post a Comment