Mwakilishi
wa jimbo la Kitope Makame Mshimba Mbarouk akichangia Mswada wa Sheria
ya kuanzisha sheria za Hakimiliki za wagunduzi wa aina Mpya za Mbegu za
Mimea katika Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
Mwakilishi
wa Jimbo la Mji Mkongwe Ismail Jussa Ladhu akichangia Mswada wa Sheria
ya kuanzisha sheria za Hakimiliki za wagunduzi wa aina Mpya za Mbegu za
Mimea katika Baraza la Wawakilishi Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar. Mwandishi
wa Habari wa Gaazeti la Zanzibar Leo Mwantanga Ame akifanya kazi yake
ya Uandishi kwa Utulivu katika Ukumbi wa Juu Baraza la Wawakilishi
lililoanza Leo huko Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Post a Comment