Mr Omary Mjenga akipata picha ya kumbukumbu
na Mh. Lazaro Nyalandu ambaye ni Waziri mpya wa Maliasili na Utalii
nchini Tanzania wakati waziri huyo alipomtembelea bwana Mjenga ofisini
kwake Dubai.
Mh.
Nyalandu akisisitiza jambo kwa Ndugu Mjenga jinsi ya kuweza kuendeleza
sekta ya utalii nchini mwetu wakati alipomtembelea ofisini kwake Dubai
Picha
juu na chini ni Waziri wa Utalii na Maliasili Mh. Lazaro Nyalandu
akiongea na Mwakilishi wa Tanzania Dubai Mr Omary Mjenga kuhusu masuala
mbalimbali yanayohusu kudumisha na kuendeleza utalii nchini mwetu.
Mr. Sajwani (Kushoto) akiongea na Mh. Nyalandu
Picha
juu na chini Mh. Nyalandu akiwa na mwenyeji wake Mr. Mjenga
(Kulia) wakiongea na Mmoja wa wafanya biashara maarufu katika sekta ya
ujenzi wa mahotel na majumba mbali mbali ya biashara Dubai Mr. Husssin
Sajwani. Katika maongezi yao Mh. Nyalandu alimkaribisha Mr. Sajwani kuja
kuwekeza nchini Tanzania katika sekta mbali mbali hasa katika Mahoteli
na Utalii. Mh. Nyalandu ameondoka leo Dubai baada ya kumaliza ziara yake
ya kikazi.
Post a Comment