Nyumba ya ajabu baharini huvutia watalii na wenyeji kwa kupata huduma za
Chakula na viwanji. Nyumba hii ikiwa imejengwa kwa mbao na
makuti,Hutowa huduma kwa wtu mbalimbali wanaofika katika nyumba hiyo
inayoelea baharini
credit: Zanzinews
on Friday, January 17, 2014
Post a Comment