Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati wa mkutano wa kujadili namna ya
kuongeza kasi ya uboreshaji wa kilimo uliofanyika Davos Uswisi usiku
wa kuamkia leo Januari 23, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa
Uingereza Mhe. Niuck Clegg walipoikutana na kufanya mazungumzo katika
hoteli ya Sheraton Davos, Uswisi Janaury 23, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete kutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti na
Mtendaji Mkuu wa kampuni ya JETRO ya Japan katika hoteli ta Sheraton
Davos, Uswisi, January 23, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa
kampuni ya JETRO ya Japan katika hoteli ta Sheraton Davos, Uswisi,
January 23, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa
Shirika la Maendeleo ya Kimataifa ya Marekani (USAID) Mhe Rajiv Shah
katika ukumbi wa mikutano wa Davos, Uswisi, January 23, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya
Kimataifa ya Marekani (USAID) Mhe Rajiv Shah katika ukumbi wa mikutano
wa Davos, Uswisi, January 23, 2014
Rais Jakaya Kikwete akishangiliwa baada ya kuhutubia wakati wa mkutano
wa kujadili namna ya kuongeza kasi ya uboreshaji wa kupatikana na
kulinda maji nsalama kwa miaka ijayo katika hoteli ya Derby huku
Davos Uswisi Januari 23, 2014.
Rais
Jakaya Kikwete akikuhutubia wakati wa mkutano wa kujadili namna ya
kuongeza kasi ya uboreshaji wa kupatikana na kulinda maji nsalama kwa
miaka ijayo katika hoteli ya Derby huku Davos Uswisi Januari 23,
2014.
Post a Comment