Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Saada
Mkuya Salum,(wa pili kulia) pamoja na Manaibu wake Adam Kigoma Malima na
Mwigulu Lameck Nchemba,(kushoto) walipofika kujitambulisha kwa Rais
Ikulu Mjini Zanzibar leo.{Picha na Ramadhan Othman Ikulu].
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Saada
Mkuya Salum,alipofika kujitambulisha na Manaibu wake Adam Kigoma Malima
na Mwigulu Lameck Nchemba,(hawapo pichani) walipofika kujitambulisha
kwa Rais Ikulu Mjini Zanzibar leo.{Picha na Ramadhan Othman Ikulu].
Post a Comment