Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe(katika Jukwaa)
akipokea Salaam ya Utii toka Gadi Maalum ya Kijeshi iliyoandaliwa na
Maofisa wa Jeshi la Magereza(hawapo pichani) alipotembelea Ofisi za
Makao Makuu ya Jeshi la Magereza leo Januari 23, 2014, Jijini Dar es
Salaam.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akikagua Gadi Maalum ya
Gwaride lililoandaliwa na Maofisa wa Jeshi la Magereza alipotembelea
Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Magereza leo Januari 23, 2014 Jijini
Dar es Salaam.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mathias Chikawe akisalimiana na Kamishna
Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Gideon Nkana alipotembelea Ofisi za
Makao Makuu ya Magereza Nchini leo Januari 23, 2014, Jijini Dar es
Salaam.
Kamishna
Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja akitoa taarifa fupi ya
hali ya Uendeshaji wa Magereza Nchini kabla ya kumkaribisha Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe kuongea na Maafisa
Waandamizi wa Jeshi la Magereza alipotembelea Ofisi za Makao Makuu ya
Jeshi la Magereza leo Januari 23, 2014.
Baadhi
ya Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza wakimsikiliza Waziri wa
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe alipotembelea na kuongea na
Maafisa Waandamizi wa Magereza wa Ofisi za Makao Makuu ya Magereza leo
Januari 23, 2014 Jijini, Dar es Salaam
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akiongea na Maafisa
Waandamizi wa Jeshi la Magereza(hawapo pichani)leo Januari 23, 2014
katika Ukumbi wa Makao Makuu ya Jeshi la Magereza(wa pili kulia) ni
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Pereira Silima(wa kwanza
kulia) ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mbarak
Abdulwakil(wa kwanza kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John
Casmir Minja(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
Post a Comment