Mratibu
wa Dua Maalum ya kuliombea Zanzibar Allen Mbaga kutoka kanisa la
Tanzania fellowship of churches (TFC) wakati na wenzake wakimkadhi
zawadi Rais mstaafu wa Zanzibar Dkt. Salmin Amour Juma walipofika
nyumbani kwake Migombani.
Wachungaji
wakiongozwa na Askofu Fabian Obedi kutoka kanisa la Sentekoste Zanzibar
wa tatu kushoto wakimuaga Rais mstaafu wa Zanzibar Dkt. Salmin Amour
Juma mara baada ya kumaliza kumuombea nyumbani kwake Migombani Zanzibar
Dec 31/2013.
Mratibu
wa Dua Maalum ya kuiyombea Zanzibar kwenye mkesha wa mwaka mpya Allen
Mbaga kutoka kanisa la Tanzania fellowship of churches (TFC) aliesimama
kulia akiwatambulisha wachungaji waliofika nyumbani kwa Rais mstaafu wa
Zanzibar Dkt Salmin Amour Juma kwa lengo la kumtembele na kumuomea huko
Migombani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Rais
mstaafu wa Zanzibar Dkt. Salmin Amour Juma wakuli alievaa kofia akiwapa
historia ya Bara la Afrika kabla ya ukombozi wachungaji wa Zanzibar
walipofika nyumbani kwake kumtembele jana huko nyumbani kwake Migombani
nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.(Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Post a Comment