Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiongea na
waandishi wa habari (hawapo pichani) leo ofisini kwake jijijni Dar es
Salaam mara baada ya kurudi kutoka Mkoa wa Morogoro alipokwenda
kutembelea wananchi waliokumbwa na mafuriko yaliyotokea jana. Mafuriko
yalisababisha wanachi kukosa huduma za jamii ikiwemo usafiri wabarabara
kutoka Dodoma kuja Morogoro na Morogoro kwenda Dodoma.
Wilaya
za Gairo na Kilosa zimeathirika na mafuriko yaliyotokea mkoani
Morogoro ambapo usafiri unatarajiwa kurudi katika hali yake ya kawaida
takribani baada ya siku tatu hadi nne.
Post a Comment