MGENI RASMI AMBAYE PIA NI MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA (MNEC) WILAYA YA ARUSHA NDUGU GODFREY MWALUSAMBA AKIHUTUBIA WANACHAMA NA WAKAZI WA MTAA WA SIMANJIRO KWENYE MKUTANO WA KAMPENI YA UDIWANI KATIKA ENEO LA KIWANJA CHA NGUSERO MWISHO WA HIACE ,KATA YA SOMBETINI JIJINI ARUSHA
MWENYEKITI WA CHAMA CHA Chadema NDG MADAVA AKIWASIHI WAKAZI WA NGUSERO KUMCHAGU MWALIMU DAVID MOLLEL KUWA DIWANI WAO NA AKIWAELEZA WAKAZI HAO SABABU ZA KUHIHAMA Chadema,MARA BAADA YA KUJIVUA UONGOZI NA UANACHAMA WA Chadema KWENYE MKUTANO WA KAMPENI YA UDIWANI KATIKA ENEO LA VIWANJA VYA MWISHO WA HIACE ,MTAA WA OSUNYAI,KATA YA SOMBETINI JIJINI ARUSHA ,MBELE YA MGENI RASMI,MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA (MNEC)WILAYA YA ARUSHA NDUGU GODFREY MWALUSAMBA
MWENYEKITI WA UVCCM WILAYA YA ARUSHA NDG MARTIN MUNISI AKIHUTUBIA WAKAZI NA WANACHAMA WA CCM MTAA WA OSUNYAI KWENYE MKUTANO WA KAMPENI YA UDIWANI KATIKA ENEO LA VIWANJA VYA MWISHO WA HIACE , MTAA WA OSUNYAI ,KATA YA SOMBETINI JIJINI ARUSHA
KATIBU WA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG ELISANTE KIMARO AKIHUTUBIA WAKAZI NA WANACHAMA WA CCM MTAA WA OSUNYAI KWENYE MKUTANO WA KAMPENI YA UDIWANI KATIKA ENEO LA VIWANJA VYA MWISHO WA HIACE , KATA YA SOMBETINI JIJINI ARUSHA
KATIBU WA UWT MKOANI ARUSHA AKIHUTUBIA WAKAZI NA WANACHAMA WA CCM MTAA WA OSUNYAI KWENYE MKUTANO WA KAMPENI YA UDIWANI KATIKA ENEO LA VIWANJA VYA MWISHO WA HIACE , KATA YA SOMBETINI JIJINI ARUSHA
KATIBU WA UVCCM WILAYA YA GEITA NA MTOTO WA NYUMBANI NDG ODILIA AKIHUTUBIA WAKAZI NA WANACHAMA WA CCM MTAA WA OSUNYAI KWENYE MKUTANO WA KAMPENI YA UDIWANI KATIKA ENEO LA VIWANJA VYA MWISHO WA HIACE , MTAA WA OSUNYAI ,KATA YA SOMBETINI JIJINI ARUSHA
KATIBU WA UVCCM WILAYA YA KARATU NDG ALLY
KATIBU WA CCM MKOANI ARUSHA NA MBUNGE WA VITI MAALUM MAMA MARY CHATANDA AKIONGEA NA WAKAZI WA MTAA WA OSUNYAI KATIKA MKUTANO WA KAMPENI YA UDIWANI KATIKA ENEO LA VIWANJA VYA MWISHO WA HIACE ,KATA YA SOMBETINI JIJINI ARUSHA
MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA ARUSHA NDG WILFRED SOILELI AKIMKARIBISHA MNEC NA MGENI RASMI NDG GODFREY MWALUSAMBA KUONGEA KWENYE MKUTANO WA KAMPENI YA UDIWANI KATIKA ENEO LA VIWANJA VYA MWISHO WA HIACE ,KATA YA SOMBETINI JIJINI ARUSHA
VIONGOZI MBALI MBALI KWENYE MEZA KUU KWENYE MKUTANO WA KAMPENI YA UDIWANI KATIKA ENEO LA VIWANJA VYA MWISHO WA HIACE ,KATA YA SOMBETINI JIJINI ARUSHA
UMATI WA WAKAZI WA MTAA WA OSUNYAI WALIOJITOKEZA KWA WINGI KUSIKILIZA IALANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KWENYE MKUTANO WA KAMPENI YA UDIWANI KATIKA ENEO LA VIWANJA VYA MWISHO WA HIACE ,KATA YA SOMBETINI JIJINI ARUSHA
on Saturday, February 8, 2014
Post a Comment