Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa karakana ya utengenezaji
Majiko Sanifu Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha Prof. Robert V. Lange juu
ya kusafisha na kuyafanya maji kuwa salama, wakati alipotembelea sehemu
ya karakana hiyo inayotumia umeme wa nguvu za jua (Solor Power Energe).
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa karakana ya utengenezaji
Majiko Sanifu Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha Bw. Kisioki Moitiko
kuhusu utengenezaji wa majiko hayo, wakati alipotembelea kwenye karakana
hiyo leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Waziri Mkuu wa
awamu ya kwanza Marehemu Edward Moringe Sokoin wakati alipozuru kijijini
kwa marehemu Monduli juu alipokua katika ziara ya kikazi Wilayani
Monduli Mkoani Arusha.

Monduli Mkoani Arusha
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akitoka ndani ya moja ya nyumba zinazotumia majiko sanifu wakati
alipotembelea katika kijiji cha Enguiki Wilaya ya Mondoli Mkoani Arusha
leo.
Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mama Zakia
Bilal, akicheza ngoma ya kimasai na wananchi wa kijiji cha Enguiki
Wilayani Monduli Mkoani arusha walipofika kijijini hapo kwa ajili ya
kuzungumza na wananchi hao leo.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mhe. Dkt. Binilith S.
Mahenge, akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Enguiki Wilayani Monduli
Mkoani Arusha, ambapo ameambatana na Makamu wa Rais kwenye ziara hiyo.
Mke
wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mama Zakia
Bilal, akisalimiana na Wananchi wa kijiji cha Enguiki Wilayani Monduli
Mkoani arusha walipofika kijijini hapo kwa ajili ya kuzungumza na
wananchi hao leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akipokea kifimbo kutoka kwa wazee wa kijiji cha Enguiki Wilaya ya
Mondoli Mkoani Arusha leo February 25-2014, mara baada ya kusimikwa
kuwa kiongozi wa kabila la kijiji hicho.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na Mkuu wa karakana ya utengenezaji Majiko Sanifu
Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha Prof. Robert V. Lange, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiagana na wananchi wa kijiji cha Enguiki Wilaya ya Mondoli
Mkoani Arusha baada ya kuwahutubia mkutano wa hadhara leo February
25-2014.
Post a Comment