Naibu
Waziri wa Fedha Adam Malima akisoma risala kwa mgeni rasmi wakati wa
ufunguzi wa mkutano wa wadau wa PSPF uliofanyika katika ukumbi wa
Mwalimu Nyerere,leo jijini Dar es Salam.
Kaimu
Mwenyekiti wa Bodi ya PSPF Peter Ilomo akisoma risala kwa mgeni rasmi
wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau wa PSPF uliofanyika katika ukumbi
wa Mwalimu Nyerere,leo jijini Dar es Salam.
Mgeni
Rasmi wa Mkutano wa wadau wa PSPF Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali
Hassan Mwinyi akifungua huduma kwa wateja ya Mfuko wa PSPF ambayo
utakuwa ukiwasaidia wadau wa mfuko huo kupata huduma mbalimbali kuepukana na usumbufu wa kufuatilia mafao badala yake watakuwa wakitumia simu.

Hassan Mwinyi,akimpa mkono wa pongezi mdau wa Habari John Bukuku kwa
kujiunga na Mfuko wa PSPF leo jijini Dar es Salaam.
Kikundi cha Tanzania House of Talent pamoja na Bendi ya Mrisho Mpoto wakitoa burudani wakati wa mkutano wa wadau wa PSPF ,katika viwanja vya Mwl.Nyerere leo jijini Dar es Salaam.
Kikundi cha Tanzania House of Talent pamoja na Bendi ya Mrisho Mpoto wakitoa burudani wakati wa mkutano wa wadau wa PSPF ,katika viwanja vya Mwl.Nyerere leo jijini Dar es Salaam.
Mgeni Rasmi
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi akifurahia ujumbe
uliokuwa ukitolewa na wasanii wa Tanzania House of Talent(THT),kulia ni Naibu
waziri wa Fedha Adama Malima,Kaimu Mwenyekiti wa bodi ya PSPF Peter
Ilomo na kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje John
Haule,katika ukumbi wa mikutano wa Mwl. Nyerere.
Msanii maarufu wa Muziki Mrisho Mpoto almaarufu Mjomba akitoa burudani kwa wadau wa Mkutano wa PSPF uliofanyika katika ukumbi wa Mwl.Nyerere leo jijini Dar es Salaam.
Wadau wa mkutano PSPF wakifuatilia kwa makini matukio yaliyokuwa yakiendelea wakati wa mkutano huo leo jijini Dar es salaam.
Post a Comment