Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Spika wa Bunge, Anne Makinda kwenye
ukumbi wa Bunge mjini Dodoma katika semina ya Wajumbe wa Bunge Maalum
la Katiba, Februari 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba
kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 27, 2014. Kutoka kushoto
ni Maria Sarungi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu na
Mbunge wa Bunda, Stephen Wasira na Mbunge wa Igalula,Athumani,
Mfutakamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Post a Comment