Katika
pita pita katika mtandao wa Instagram nimekutana na post ya msanii Peter
Msechu ambayo ameelezea tukio la msichana wake wa kazi kufanya jaribio
la kujinyonga. Soma alichokiandika mwenyewe...
na habari na matukio blog
on Wednesday, February 26, 2014
Post a Comment