Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma Dk.Rehema Nchimbi mara alipowasili katika uwanja wa Ndege wa
Dodoma leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na viongozi mbali
mbali wa Chama cha Mapinduzi alipowasili katika uwanja wa Ndege
wa Dodoma leo akihudhuria katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa
kinachoanza jioni hii,(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk.Rehema Nchimbi.
Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM Makao Makuu Dodoma wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Dodoma leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akiimba wimbo wa
Chama alipokaribishwa na Vijana wa kwaya wa Wilaya ya Dodoma alipowasili
katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma Mjini leo akishiriki katika kikao cha
Halmashauri Kuu ya CCM (NEC). Picha na Ramadhan Othman,Dodoma
Post a Comment