Tawi
la CCM New York walivyoshereheka miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama hicho,
Kulikuwa na hotuba ya viongozi wa tawi na mgeni rasmi kutoka Tanzania
UN Mission Mama Maura Mwingira. Historia ya chama iliyosomwa na
mwenyekiti wa tawi bwana Maftah na mambo mengi kama kula chakula
kucheza ngoma na muziki kutoka kwa Dj Paul Masoud wa Boston.
Mgeni rasmi akiingia ukumbini hapa akisindikizwa na viongozi wa tawi la CCM New York.
Viongozi wakijiweka sawa kwenye meza kuu
Meza kuu ikiwa na viongozi wa tawi pamoja na mgeni rasmi katika sherehe hiyo mama Maura Mwingira katika katika
Katibu wa tawi la CCM bwana Shaban Mseba akiongea kabla ya kamkaribisha mgeni rasmi kuongea
Mama
Maura Mwingira mgeni rasmi katika sherehe hiyo akiongoa, Mama Maura W.
Mwingira, ni Minister Plenipotentiary Mission of the United Republic of
Tanzania to the United Nations
Bwana Maftah mwenyekiti wa tawi la CCM New York akisoma hotuba fupi ya chama hicho.
Bwana Isaack Kibodya akisoma historia ya CCM na Tanzania kwa ujumla.
Mchereheshaji wa cherehe hiyo Gaston akitoa ratiba ya sherehe mzima ukumbini hapo
Mgeni
rasmi akichukua chakula, sherehe hii ilisimamiwa na vijana wa New York
wanaojulikana kwa jina la Zima Taah. Zima Taah ni kikundi cha vijana wa
New York kinachoongozwa na viongozi wa muda katibu na mwenyekiti wake
Bahia na Gaston. Hongera sana wanazima taah kwa kazi mzuri ya
kufanikisha shughuli hii, kwa picha zaidi jitiririshe chini.
|
on Monday, February 10, 2014
Post a Comment