Wafanyakazi
wa shirika la Restless Tanzania, Mwadawa na Amne wakitoa maelekezo kwa
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Pudenciana Kisaka juu ya
shughuli za shirika hilo. Mkurugenzi
wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Pudenciana Kisaka akipanda mti
katika shule ya msingi Igula katika Tarafa ya ismaniMkurugenzi
wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Pudenciana Kisaka akiwa katika picha
ya pamoja na watoto yatima wa kituo Nyumbani kilichoko Ismani.
Loading...
Post a Comment