Waziri
wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe, akitoa taarifa kwa waandishi wa
habari katika Ofisi za Wizara ya Maji Mkoani Dodoma Machi 14, 2014
kuhusiana na utekelezaji wa maendeleo ya miundo mbinu ya maji nchini
katika kuelekea maadhimisho ya wiki ya maji yanayotarajiwa kufanyika
kitaifa katika Uwanja wa Jamhuri Manispaa ya Dodoma kuanzia Machi 16-22,
2014 kauli mbio ya maazimisho hayo “uhakika wa maji na nishati”
(katikati) Mwenyekiti Kamati ya Maadhimisho ya Wiki ya Maji Bwana Amani
Mafuru, na kulia Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Maji, Nurdini
Ndimbe.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DODOMA


Post a Comment