Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RIDHIWANI KIKWETE APEWA RAI NA WANA CHALINZE

4

1
Mgombea Ubunge jimbo la Chalinze kupitia CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akimsikiliza mwanafunzi Asha Masoud wa shule ya msingi ya kijiji cha Makombe kata ya Lugoba. wakati alipofanya mkutano wa kampeni kijijini hapo, Ambapo amewaomba kura za ndio wananchi wa kijiji hicho ili aweze kutatua kero zao na kuleta maendeleo jimboni humo, Naye katibu wa NEC Itikadi, Siasa, na Uenezi (CCM) Nape nnauye akimnadi mgombea huyo amesema akishachaguliwa na kuwa mbunge wa Chalinze atatakiwa kuwa mkali kwa mawaziri. ili watoke maofisini  na kwenda vijijini kusikiliza matatizo ya wananchi kama anavyofanya Waziri wa Ujenzi Mh. John Pombe Magufuli ambaye amekuwa mwepesi wa kukagua miradi mbalimbali na kujua matatizo na kero za wananchi jambo ambalo linakuwa rahisi kuchukua hatua za utekelezaji, Uchaguzi wa jimbo la Chalizne unatarajiwa kufanyika Aprili 6 mwaka huu kuziba pengo la aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Marehemu Said Ramadhan Bwanamdogo, Kushoto ni Diwani wa kata ya Lugoba Bi. Rehema Issa Mwene2
Katibu wa NEC Itikadi, Siasa, na Uenezi (CCM) Nape nnauye kulia akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete katika kijiji cha Makombe kata ya Lugomba

3
Diwani wa kata ya Lugoba Bi. Rehema Issa Mwene akimuombea kura Ridhiwani Kikwete kwa wananchi wa kijiji cha Makombe kilichopo katika kata yake ya Lugoba anayoiongoza. 4
Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete akiomba kura kwa wananchi wa kijiji cha Makombe 5
Kwaya ya uhamasishaji ikiimba katika mkutano huo 6
Kazi ya kuchukua taswira nayo ni ngumu vijana wa kazi wakipozi kidogo kabla ya kuendelea na kazi hiyo. 7
Sam wa Ukweli akitumbuiza
  8
Katibu wa NEC Itikadi, Siasa, na Uenezi (CCM) Nape nnauye akirika juu juu wakati akishiriki kucheza na Morani wa Kimasai 10
Kundi la Fataki la TBC nalo limevamia chalinze kuanza kutoka burudani katika mikutano ya kampeni ya mgombea wa CCM Bw. Rhidhiwani Kikwete.
.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-LUGOBA -CHALINZE)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top