Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAZIRI MKUU MHE. PINDA NA MATUKIO BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

 

PG4A4045 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Viongozi wa Kampuni ya Africana  Barrick Gold Tanzania, kwenye makazi yake mjini Dodoma  Machi 25,2014. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Serikali (Director of Government Relations)), Balozi Emmanuel  Ole Naiko, Makamu wa Rais, Deo Mwanyika na Ofisa Mtendaji Mkuu (Chief  Executive Officer ), Brand Gordon. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A4056
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masere  (kushoto kwake) wakizungumza na Viongozi wa Kampuni ya Africana  Barrick Gold Tanzania, kwenye makazi yake mjini Dodoma  Machi 25,2014. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Serikali (Director of Government Relations)), Balozi Emmanuel Ole Naiko, Makamu wa Rais, Deo Mwanyika na Ofisa Mtendaji Mkuu (Chief  Executive Officer ), Brand Gordon. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A4130
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiteta na Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale-Mwiru, Bungeni Mjini  Dodoma Machi 25, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top