Wafanyakazi
wanawake kutoka ofisi mbalimbali wakiwa wamejipanga kwaajili ya kuanza
maandamano hapo jana yaliyoanzia katika shule ya msingini mabatini
iliyopo Wilaya ya Temeke na kuishia katika uwanja wa Mwembe Yanga,
wakati wa maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake Duniani yaliyofanyika
tarehe 8 Machi 2014.
Kutoka
Wizara ya Mambo ya Ndani wakksindikizwa na Bendi ya Polisi wakati wa
maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake Duniani iliyofanyika Jana katika
Uwanja wa Mwembe Yanga, Wilayani Temeke Jijini Dar Es Salaam.
Bendi
ya Kikosi cha Kujenga Taifa nao wakiwasindikiza waandamaji katika
Kilele cha Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika jana tarehe 8 Machi
2014 katika Viwanja Vya Mwembe Yanga, Wilayani Temeke, Jijini Dar
Wadau wa Mfuko wa PPF nao wakiwa katika Maandamano
Mgeni
Rasmi Bi Hawa Ghasia (wa pili kushoto) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es
Salaam, Mh Mecky Sadick na wageni wengine wakiwa tayari kuyapokea
maandamano yaliyofika katika Uwanja wa Mwembe yanga jana wakati wa
maadhimisho ya SIkukuu ya Wanawake Dunia.
Wakazi
wa Temeke wakiwa Juu kushuhudia yaliyokuwa yakiendelea katika Viwanja
vya Mwembe Yanga wakati wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake Duniani
yaliyofanyika tarehe 8 Machi 2014 katika viwanja hivyo
Magereza nao hawakuwa nyuma
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari nao wakishangilia siku ya wanawake duniani
Burudani ikiendelea..
Ungo ukipitishwa…Changia Unachoweza..
Burudani kutoka Kwa Mkuu wa Mkoa Wa Dar Es Salaam, Mh Said Mecky Sadick akisakata Rumba
Wadau wa PPF wakiserebuka
Doroth
Kaiyuzi , Kutoka Chama cha Wasioona Akisoma Risala mbele ya Wageni
Rasmi katika Maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake yaliyofanyika katika
Uwanja wa Mwembe Yanga, Jijini Dar Es Salaam, tarehe 8 Machi 2014
Wakazi
wa Jiji la Dar wakitembelea Mabanda mbalimbali yaliyopo katika uwanja
huo wa Mwembe Yanga wakati wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wanawake Duniani
hapo tarehe 8 Machi 2014.Picha Na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
Post a Comment