|
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fennela Mukangara akiongea
na Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) na kuwaasa kutumia kalamu
vizuri hasa katika kipindi hiki cha uandaaji wa katiba mpya kwa maslahi
ya Taifa, kwenye Semina Iliyoandaliwa na Idara ya Habari ( MAELEZO)
kuhusu wajibu wa waandishi wa habari katika kuripoti habari za bunge
maalum, Leo Mjini Dodoma. |
|
Mhadhiri
katika Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (SJMC) ya
Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Dkt. Ayoub Rioba akiongea na Waandishi wa
habari (hawapo pichani) na kueleza kuhusu umuhimu wa Vyombo vya habari
hasa katika kipindi hiki cha kuelekea katika uandaaji wa katiba mpya,
Kwenye Semina Iliyoandaliwa na Idara ya Habari ( MAELEZO) kuhusu wajibu
wa waandishi wa habari katika kuripoti habari za bunge maalum, Leo Mjini
Dodoma. |
|
Mhadhiri
wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Mwalimu Bashiru Ally akiongea na
Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) na kuwaasa kutumia nyenzo zote
ikiwamo Rasimu ya Katiba, Hotuba ya Mh. Rais Jakaya Kikwete hasa katika
kipindi hiki cha kuelekea katika upatikanaji wa katiba mpya. kwenye
Semina Iliyoandaliwa na Idara ya Habari ( MAELEZO) kuhusu wajibu wa
waandishi wa habari katika kuripoti habari za bunge maalum, Leo Mjini
Dodoma. |
|
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Kingunge Ngombale Mwiru akiongea na
waandishi wa habari Hawapo Pichani) na kuwaasa wananchi kuwa na umoja
hasa katika kipindi hiki cha upatikanaji wa katiba mpya kwa maendeleo ya
Taifa na Wananchi kwa Ujumla. kwenye Semina Iliyoandaliwa na Idara ya
Habari ( MAELEZO) kuhusu wajibu wa waandishi wa
habari katika kuripoti habari za bunge maalum, Leo Mjini Dodoma. |
|
Mkurugenzi
Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Zamaradi Kawawa akieleza jambo
kwa Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) Kwenye Semina Iliyoandaliwa na
Idara ya Habari ( MAELEZO) kuhusu wajibu wa waandishi wa habari katika
kuripoti habari za bunge maalum, Leo Mjini Dodoma.
|
(Picha na Hassan Silayo)–
on Sunday, March 23, 2014
Post a Comment