Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wananchi, Wapenzi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi wa Mkoa mjini kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika jana April 05-2014 katika Viwanja vya Demokrasia mjini Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai akizungumza na Wananchi, Wapenzi na Wanachama wa CCM wa Mkoa Mjini kabla ya kumkaribisha Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kuhutubia mkutano wa hadhara katika Viwanja vya Demokrasia Zanzibar.
Wananchi, Wapenzi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokua akihutubia kwenye mkutano wa hadhara wa Mkoa wa mjini uliofanyika leo April 05-2014 kwenye Viwanja vya Demokrasia mjini Zanzibar. Picha na OMR
Post a Comment