Profesa Anna
Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi wa pili
kutoka kulia pamoja na Babu wa Kijiji cha Maisha Plus akiwasalimia
akina mama Shujaa wa Chakula ambao wameingia Rasmi Kijiji cha Maisha
Plus Jana usiku.
Akina Mama
Shujaa wa Chakula Wakiwa wanamuimbia wimbo maalum Profesa Anna
Tibaijuka Waziri wa Nyumba Ardhi na maendeleo ya Makazi mara baada ya
kuwasili Kijijini hapo.
Hawa ndio Mama Shujaa wa Chakula ambao jana usiku wameingia Rasmi katika Kijiji Cha Maisha Plus
Baadhi ya wageni waalikwa waliofika kushuhudia Kukaribishwa Rasmi kwa Mama shujaa wa Chakula katika Kijiji cha Maisha Plus.
Mwakilishi kutoka
Forum CC Faidhari akizungumza jambo wakati wa kuwakaribisha Mama Shujaa
wa Chakula katika Kijiji cha Maisha Plus.
Teresa Yates Mwakilishi kutoka OXFAM akitoa salama za Shukurani kwa wadau wote
Post a Comment