Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea salamu za maadhimisho ya miaka 50 ya
Muungano kutoka kwa Rais wa Angola Jose Eduardo Dos Santos
uliowasilishwa kwake na Waziri wa Serikali za mitaa(local Governments)
Mhe.Bornito De Sousa ikulu jijini Dar es Salaam siku ya kilele cha
sherehe hizo(tarehe 26Apili 2014).
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa
Serikali za mitaa (local Governments) wa Angola baada ya kupokea salamu
za maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano kutoka kwa Rais wa Angola,Mh.
Jose Eduardo Dos Santos ikulu jijini Dar es Salaam siku ya kilele cha
sherehe hizo(tarehe 26Apili 2014).
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Serikali
za mitaa (local Governments) wa Angola,Mhe. Bornito De Sousa wakati
akizipitia salamu hizo za maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano kutoka kwa
Rais wa Angola Jose Eduardo Dos Santos uliowasilishwa kwake na Waziri
huyo,ikulu jijini Dar es Salaam siku ya kilele cha sherehe hizo(tarehe
26Apili 2014).(picha na Freddy Maro)
Post a Comment