Mh
Jenista Mhagama (Kushoto) akiongea na baadhi ya wabunge kutoka Kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii na baadhi ya wafanyakazi wa VETA
kutoka Makao Makuu na VETA Kanda ya Kusini wakati wa semina
iliyoandaliwa na VETA Kwaajili ya wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge
ya Huduma za Jamii juu ya mradi wa Kuongeza sifa za kuajiliwa - EEVT
iliyofanyika katika Ukumbi wa Benki wa Kuu ya Tanzania, Jijini Dar Es
Salaam. Katikati ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mh Magreth Sitta na Kulia
ni Steven Ngonyani.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii, Mh Magreth Sitta
(Katikati) akiongea wakati wa semina iliyoandaliwa na VETA kwaajili ya
Kamati hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Benki kuu ya Tanzania leo
Jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa VETA Tanzania, Mh Mhandisi Zebadiah Moshi(kulia) akifungua
semina iliyoandaliwa na VETA kwaajili ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Huduma za Kijamii loe katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania.
Mkurugenzi
Mkuu wa VETA, Mh Mhandisi Zebadiah Moshi akiongea wakati wa semina
iliyoandaliwa na VETA kwaajili ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za
Jamii leo
Mkurugenzi
wa Soko la Ajira, Mipango na Maendeleo Kutoka VETA, Bw Enock Kibendela
akitoa mada juu ya mchango mkubwa unaotolewa na VETA Katika kukuza sekta
ya ajira kwa vijana wanaopata mafunzo ya ufundi stadi wakati wa semina
iliyoandaliwa na VETA kwa wabunge wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma
za Jamii leo katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania.
Baadhi
ya wabunge wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii pamoja na
wafanyakazi wa VETA waliohudhuria semina iliyoandaliwa na VETA Kwaajili
ya wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii juu ya mradi
wa Kuongeza sifa za kuajiliwa - EEVT.
Post a Comment