Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Askofu Mkuu Mstaafu, Dr. Donald Mtetemela
(kushoto) na Spika wa Bunge, Anne Makinda wakiteta Bungeni mjini Dodoma
Aprili 4, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba na Waziri wa Ujenzi, John Magufuli akiapa
Mabele ya Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samia Suluhu (kushoto),
Bungeni Mjini Dodoma.
Wajumbe wa Bunge Maalum la katiba, Waziri Mkuu, Msaafu, Edward Lowassa na Joshua Nasari wakiteta, Bungeni mjini Dodoma.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba,Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa (kulia) na
Mwenyekiti wa Chama cha CUF, Ibrahim Lipumba wakiteta, Bungeni mjini
Dodoma Aprili 4, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
on Saturday, April 5, 2014
Post a Comment