Katibu Mkuu wa CCM,
Kinana, akisalimiana na Mbunge wa Singida Magharibi, Lazaro Nyalandu, wakati wa
mapokezi yake baada ya kuwasli mpakani mwa Tabora na Singida, mwanzoni
mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa
ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi
katika mkoa wa Singida.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto), akisaidiwa na Mbunge wa Manyoni
Magharibi, Paul Luanje, kuwapa mafundi bati waliokuwa wakipaua, jengo la
maabara katika shule ya sekondari Mgandu, iliyopo katika kijiji cha Kayui
Manyoni Magharibi, mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida,
kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi
kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida, leo Mei 19, 2014.
Katibu wa NEC,
Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akifukia mti ambao naye pia
aliupanda kwenye shule hiyo kumuunga mkono Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana.
Katibu Mkuu wa
CCM, Abdulrahman Kinana akifukia mti bada ya kuupanda kama kumbukumbu ya
kushiriki ujenzi wa jengo hilo la maabara katika shule ya sekondari
Mgandu, iliyopo katika kijiji cha Kayui Manyoni Magharibi, mwanzoni
mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa
ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi
katika mkoa wa Singida, leo Mei 19, 2014.
Katibu Mkuu wa
CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa jengo la Chuo cha Ufundi- VETA,
cha Jumuia ya Wazazi ya CCM, Kata ya Itagata, Manyoni, mwanzoni mwa ziara
yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya
CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa
wa Singida.leo Mei 19, 2014. Aliyebeba tofali kumpa ni Mwenyekiti wa CCm mkoa
wa Singida, Mgana
Katibu
Mkuu wa CCM, Kinana akikagua bwawa lililochimbwa na serikali kwa ajili ya
kilimo cha umwagiliaji na unyweshaji mifugo katika kijiji cha Itagata, wilayani
Manyoni, mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na
kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo
la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida, leo Mei 19, 2014. Kushoto ni
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na baadhi ya viongozi wa Chama
mkoa huo.
Wananchi wakimshangilia
Kinana wakati akihutubia mkutano hadhara kwenye Uwanja Relini, Itingi
wilayani Manyoni Manyoni mkoani Singida.
Katibu wa NEC, Itukadi na
Uenezi Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja Relini, Itingi
wilayani Manyoni Manyoni mkoani Singida, leo Mei 19, 2014.
Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara, leo Mei 19, 2014, kwenye
Uwanja wa Reli, Itigi wilayani Manyoni, mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane
mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza
kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida.
Post a Comment