Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Dr. Reginald Mengi Akava Jarida La Forbes Africa La July.... K-Lyinn Amuandikia Ujumbe Mzuri Baby wake


Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP, Dr. Reginald Mengi amekava jarida la Forbes Africa la mwezi July kama mfanyabiashara aliyefanikiwa zaidi kutoka kutembea peku hadi kuwa na utajiri wa zaidi ya $550 million (Barefoot to $550 Million).


Dr. Mengi ambaye December mwaka jana alitajwa na jarida hilo akishika nafasi ya pili kama mmiliki binafsi wa vyombo vya habari tajiri Afrika akimfuatia Koos Bekker wa Afrika Kusini, amezungumzia masuala ya uchumi yanayohusu bara la Afrika. 

 

Moja kati ya sehemu ya maelezo yake yaliyokaririwa ni pamoja  na  kueleza kuwa bara la Afrika lina utajiri mkubwa lakini watu wake ni maskini.

 

“Africa as a continent is very rich but the people are poor.”

 

Jacquline Ntuyabaliwe aka K-lyn ambaye ni mama watoto wake mapacha amemuandikia ujumbe mzuri wa kumpongeza kupitia Instagram.

 

“Congratulations my love, you always make me so proud. I wish Jay and Ry were old enough to understand this now.”
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top