Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (katikati) akipata maelezo ya
baadhi ya vipodozi vilivyopigwa marufuu kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA),Hiiti
Sillo (kushoto) wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Utumishi
wa Umma iliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dares Salaam
leo na kulia ni Msemaji wa TFDA,Gaudensia Simwanza.Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (katikati) akiangalia baadhi ya bidhaa duni na bandia katika banda la Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA), wakati
wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyofanyika
kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dares Salaam leo.Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Hiiti Sillo na kulia ni Msemaji wa TFDA, Gaudensia Simwanza.
Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (katikati) akiangalia moja ya
baadhi ya bidhaa duni na bandia(ambayo ni maziwa ya kopo) katika banda
la Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA), wakati
wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyofanyika
kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dares Salaam leo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Hiiti Sillo na kulia ni Msemaji wa TFDA, Gaudensia Simwanza.Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue wa tatu kutoka (kulia) akimkabidhi Msemaji wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Nurdin Ndimbe kikombe
cha ushindi wa kwanza katika ubunifu katika kuboresha utoaji wa
huduma , wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
iliyofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dares Salaam leo. Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akitoa hotuba yake wakati
wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma iliyofanyika
kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dares Salaam leo.
PICHA ZOTE NA MAGRETH KINABO – MAELEZO.
Post a Comment