Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

OPARESHENI TOKOMEZA AWAMU YA PILI KUANZA


Unaikumbuka oparesheni tokomeza ambayo ilitokomeza na kuondoa mawaziri wanne? Sasa tunaingia awamu ha pili ya sinema ya Oparesheni Tokomeza. Rais Kikwete leo amemwapisha Jaji mstaafu Hamis Msumi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya 'Operesheni Tokomeza'. Wengine wanaounda tume hiyo ni Majaji wastaafu Stephen Ihema na Lyimo. Watachunguza yaliyojiri katika Operesheni Tokomeza awamu ya kwanza kabla ya awamu ya pili kuanza tena.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top