Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Urusi Lt.Gen Wynjones Mathew
Kisamba alipofika kumuaga Rais leo Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na Balozi wa Tanzania Nchini Urusi Lt.Gen Wynjones Mathew
Kisamba alipofika kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar leo. Ramadhan
Othman, Ikulu.
Post a Comment