Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAKAMU MWENYEKITI UVCCM TAIFA MH. MBONI MHITA AKUTANA NA VIONGOZI WA CHIPUKIZI TAIFA

Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa Mhe. Mboni Mhita akiwa na Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa Mh. Nimka wakikagua gwaride la Chipukizi wa Kata ya Msasani.



 Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa Mh. Nimka akigawa vitabu kwa watoto waishio kwenye kituo cha serikali cha kulelea watoto yatima kilichopo kurasini.

 Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa Mh. Nimka akigawa vitabu kwa watoto waishio kwenye kituo cha serikali cha kulelea watoto yatima kilichopo kurasini.

"tunawakumbuka watoto wenzetu na tunawajali"Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa Mh. Nimka akiwa na Mwenyekiti wa Chipukizi Wilaya ya Temeke(pia Mjumbe wa Baraza Kuu Uvccm Taifa) Mh. Joshua Moshi pamoja na Mwenyekiti wa Chipukizi Kata ya Msasani ndg. kibibi wakitoa zawadi kwa watoto waishio kwenye kituo cha serikali cha kulelea watoto yatima kilichopo kurasini.


 Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa Mhe. Mboni Mhita akiwa na Mwenyekiti wa Chipukizi Taifa Mh. Nimka wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Wengine

Makamu Mwenyekiti wa Uvccm Taifa Mhe. Mboni Mhita akivishwa sikafu na Chipukizi wa Kata ya Msasani alipokuwa akiwasili kufungua Mkutano Mkuu wa Chipukizi Kata ya Msasani uliyofanyika katika kituo cha Serikali cha kulelea watoto yatima na wenye shida kilichopo kurasini.


Katibu Hamasa na Chipukizi Wilaya ya Kinondoni Ndg. Omary Bomba akimkaribisha Makamu Mwenyekiti Uvccm Taifa Mhe. Mboni Mhita kukagua gwaride la Chipukizi wa Kata ya Msasani.

credit: UVCCMTz blog
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top