Mhariri wa masuala ya Biashara wa gazeti la Mwananchi na Mwenyekiti wa Chama
cha Wafanyakazi wa Mawasiliano na Uchukuzi Tanzania (COTWU-T) Tawi la Mwananchi
Communications Limited, Dismas Lyassa (kulia) akirudisha fomu ya kugombea
Urais wa Shirikisho la Vyama vya
Wafanyakazi (Tucta) kwa Katibu Mkuu wa COTWU Kanda ya Dar es Salaam, Musa
Mwakalinga, jana ofisini kwake (kwa Mwakalinga). Uchaguzi huo unatarajiwa
kufanyika Agosti 4-5, mwaka huu mkoani Dodoma. Picha na Khamis Tembo.
Loading...
Home » Unlabelled » MHARIRI WA GAZETI LA MWANANCHI,MDAU DISMAS LYASSA ACHUKUA FOMU KOGOMBEA URAIS WA TUCTA
Post a Comment