Kwa show hizi 3 za mwanzo ambayo ni Mwanza,Bukoba na Kahama bado
zinawachanganya mashuhuda ambao wameshuhudia hizi show kutafuta sehemu
gani zaidi ilikuwa na wahudhuriaji wengi kwani mpaka sasa bado
hawajapata jibu.
Kahama wamekuwa na utulivu watu wa nguvu wakati tuna enjoy pamoja msimu huu wa mafanikio wa Serengeti Fiesta 2014.
MILLARD AYO
Post a Comment