Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Meninah afunguka live kuhusu stori za uhusiano wake na Diamond Platnumz .... Azidi kuchanganya watu

 

Screen Shot 2014-08-15 at 2.22.56 PM
Mwanzoni mwa wiki hii kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kulisambazaa taarifa za Meninah kuhusishwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake ambae ni Diamond Platnumz ambapo Meninah amekubali kuongelea hii.
Matano aliyoyasema Menina ni haya hapa chini…

1.Sina uhusiano wowote na Diamond Platnumz.
2.Mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa Dodoma kwenye uzinduzi wa video ya Miaka 50 ya Muungano.
3.Sijawahi kuwasiliana nae hata namba yake ya simu sina kwenye simu yangu.
4.Mimi napenda uhusiano wao kati yake na Wema Sepetu.
5.Nampenda Wema kama dada yangu na namkubali Diamond Platnumz kama msanii mwenzangu.
 
Credit: Millard ayo
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top