Kama
umewahi kuhudhuria show kadhaa za Diamond Platnumz basi utakuwa
umeshasikia jina la Romy Jones ingawa muda mwingine hufupishwa kwa
kuitwa Dj RJ,Jumapili ya Aug 17 alikua akisherehekea siku yake ya
kuzaliwa.
Tangu wiki iliyopita ianze Kupitia akaunti za watu mbalimbali walikua
wakimtakia kila la kheri katika siku yake hiyo ya kuzaliwa ambapo Aug
17 akaamua kufanya party fupi ya kuwaalika baadhi ya watu wa karibu na
kusherehekea pamoja kwenye club iitwayo 327.
Miongoni mwa watu waliohudhuria party hii ni pamoja na Diamond
Platnumz ambaye kidogo aliperfoam kwa ajili ya watu waliofika kwenye
birthday ya ndugu yake Romy Jones.
Hizi ni baadhi ya picha hizo.
credit: Millard ayo
Post a Comment