Watu wawili wamepoteza maisha
huku wengine wakijeruhiwa baada ya ajali mbaya iliyotokea leo katika eneo la Sanangula nje kidogo ya mji wa Songea mkoani Ruvuma ikilihusisha basi la Super Feo linalofanya safari
zake kati ya Songea - Makambako lililoacha njia na kugonga mti.
Chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa kuwa ni mwendo kasi.
Chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa kuwa ni mwendo kasi.
Post a Comment