Kwa ufupi tu ni kwamba Tume ya vyuo vikuu TCU imetangaza kwamba Wanafunzi wapatao elfu 12 wanaotaka kujiunga na elimu ya vyuo vikuu Tanzania wamekosa nafasi za kujiunga na vyuo hivyo kwa sababu ya walichagua sehemu zenye ushindani mkubwa na wamekosa nafasi sababu alama zao zilikua ndogo.
TCU wametoa maelekezo mengi na wanasema nafasi bado zipo tena ni nyingi tu kuliko hata idadi ya wanafunzi....
Post a Comment