Huu hapo
juu ni mwili wa marehemu ambaye amegongwa na gari kubwa aina ya lori
lenye namba za usajiri wa T 277 CLY na kupoteza maisha yake katika eneo
la Mbezi Tank bovu leo.
Hili hapo juu ndilo gari ambalo limemgonga mwana mama tajwa hapo juu.
Mwili wa
marehemu ukiwa umekusanywa katika sehemu moja, ambapo mwana mama huyu
alikatika mguu wake mzima wakati akiburuzwa na gari hilo kwenye rami.
Kwa hisani ya Scofield.
Post a Comment