Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua Kongamano la mwaka la siku tatu la Wakaguzi
wa Hesabu za Ndani, linaloendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa AICC
jijini Arusha. Kongamano hilo limefunguliwa leo Septemba 24, 2014.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifurahia burudani ya ngoma ya asili wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa
AICC jijini Arusha leo Septemba 24, 2014 kwa ajili ya kufungua
Kongamano la mwaka la siku tatu la Wakaguzi wa Hesabu za Ndani.
Baadhi
ya washiriki waliohudhuria Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati
akihutubia katika ukumbi wa AICC jijini Arusha leo Septemba 24, 2014.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
amkabidhi zawadi Shadrack Kishimba, kwa niaba ya Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh, wakati wa ufunguzi wa
Kongamano la mwaka la siku tatu la Wakaguzi wa Hesabu za Ndani,
linaloendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa AICC jijini Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
amkabidhi zawadi Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa, wakati wa ufunguzi wa
Kongamano la mwaka la siku tatu la Wakaguzi wa Hesabu za Ndani,
linaloendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa AICC jijini Arusha.
Picha ya pamoja na washiriki wa kongamano hilo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Dkt. Joan Pastor, (kulia) na Lesedi Lesetedi baada ya
kufungua rasmi Kongamano la mwaka la siku tatu la Wakaguzi wa Hesabu za
Ndani, linaloendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa AICC jijini Arusha
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na mtoa mada, Faith Basiye kutoka nchini Kenya (wa pili
kushoto) baada ya kufungua rasmi Kongamano la mwaka la siku tatu la
Wakaguzi wa Hesabu za Ndani, linaloendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa
AICC jijini Arusha. Kulua kwa Makamu ni Emmanuel Johannes. Picha na OMR.
Post a Comment