List hii ni kwa mujibu wa website ya
RichestLifestyle.com ambayo ni maalumu kwa ajili ya kuandika habari
zihusuzo matajiri mbalimbali duniani na mali wanazomiliki. Katika moja
ya post zilizoandikwa na mtandao huo ni kuhusu maraisi 9 matajiri zaidi
Afrika. Katika orodha hiyo Afrika mashariki tumewakilishwa na raisi
mmoja tu ambaye ni Uhuru Kenyata huku wengi wa waliomo katika List hiyo
wakitoka Afrka Magharibi. Unaweza soma list hiyo hapa chini
9) Robert Mugabe – Net Worth: $10 Million
8) Idriss Deby – Net Worth: $50 Million
7) Goodluck Jonathan – Net Worth: $100 Million
6) King Mswati III – Net Worth: $100 Million
6) Paul Biya – Net Worth: $200 Million
4) Uhuru Kenyatta – Net Worth: $500 Million
3) Teodoro Obiang Nguema Mbasogo – $600 Million
2) Mohammed VI of Morocco – Net Worth: $2.5 Billion
1) Jose Eduardo dos Santos – Net Worth: $20 Billion

Post a Comment