Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Shirika
la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakati alipotembelea ujenzi wa
Daraja la Kigamboni,jijini Dar es Salaam leo.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea kadi maalum ya pongezi ya
siku yake ya kuzaliwa leo Oktoba 07,2014 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan Dau.Rais
Kikwete anasherehekea siku yake ya kuzaliwa leo,akiwa ametimiza miaka 64
toka kuzaliwa kwake.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiangaliwa maendeleo ya ujenzi wa Daraja
Kigamboni jijini Dar es Saalam leo,wakati alipotembelea kuona maendeleo
yake.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alieambatana na Waziri wa Ujenzi,Dkt. John
Magufuli,Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka na Mkuu wa Mkoa wa
Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick wakitembelea eneo la Mradi wa Ujenzi
wa Daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam leo.ujenzi huo unafanywa na
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF).
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea kutembelea eneo hilo.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Serikali,Viongozi wa NSSF pamoja na wakandarasi wanaojenga daraja hilo mara baada ya kumaliza kutembelea eneo la mradi huo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na uongozi wa NSSF pamoja na wajenzi wa Nyumba za Makazi za shirika hilo zinazojengwa Mtoni Kijichi,jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipatiwa Maelezo ya Mradi wa Ujenzi wa nyumba za Makazi zinazojengwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika eneo la Mtoni Kijichi jijini Dar es salaam,wakati alipotembelea kujionea Maendeleo ya mradi huo leo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kwenye jiwe la mradi wa nyumba za makazi zinazojengwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Mtoni Kijichi,jijini Dar es salaam leo
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza kwa makini,Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhan Dau alipokuwa akimfafanulia jambo kuhusu mradi huo wa Nyumba.Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick.
Post a Comment